Social Icons

Tuesday 22 November 2011

Dada Asha Baraka Anasa CD Feki Za Album Ya Dunia Daraja

Mkurugenzi wa Kampuni ya ASET, Asha Baraka, akionesha kwa wanahabari albamu feki (kushoto) na halisi ya muziki inayoitwa 'Dunia Daraja' iliyozinduliwa hivi karibuni Dar es Salaam na bendi ya The African Stars 'Twanga Pepeta'. Albamu hiyo feki aliinasa mwishoni mwa wiki ikiuzwa na Mmachinga eneo la Mnazi Mmoja, ambaye hata hivyo alitimua mbio baada ya kugundua kuwa aliyemuuzia ni mmiliki wa bendi hiyo.Picha na Mdau Richard Mwaikenda



No comments: