Social Icons

Friday 20 January 2012

utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga kuanza hivi karibuni jijini Dar

Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga (kulia) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa kwa ajili ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga katika mtaa wa Twiga jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Lloyd Nchunga (kati),Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Mwesigwa Selestine wakisaini vitabu vya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga katika mtaa wa Twiga jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Francis Dande).

No comments: