Social Icons

Friday 18 May 2012

WATANZANIA WAMUAGA MAFISANGO KWA VILIO. MH. SAMUEL SITTA, KASEJA,HARUNA MOSHI NA WENGIE WAANGUA VILIO KWA UCHUNGU.


Waziri wa  Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta akilia kwa uchungu baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa mchezaji wa kimataifa wa Klabu ya Simba Patrick Mafisango.
Tulikupenda sana Kampumzike kwa Amani.
Mchezaji wa Simba Haruna Moshi a.k.a Boban akiwa haamini macho yake baada ya kuutazama mwili wa mchezaji mwenzake. Aliyemshikilia ni Mwenyekiti wa Simba SC Ismail Aden Rage.
Juma Kaseja akilia kwa uchungu.
Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akiaga.
Wachezaji wa timu ya Taifa “Taifa Stars” wakitoa heshima za mwisho.
“Kwa heri Mafisango”
Mashabiki wakilia kwa uchungu.
Kikosi cha Redcross wakitoa huduma ya kwanza.
Picha zote kwa hisani ya Mo Blog

No comments: