Rais
wa
Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa njiani
kuelekea jijini Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa
njiani kuelekea jijini Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela akitoa taarifa fupi kwaRais wa
Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla kumualika
kuongea na wakazi wa Sengerema akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza
Dkt. Charles John Tizeba ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Buchosa na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi akisalimia wananchi mjini Sengerema kabla Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli hajaongea
Mbunge wa Sengerema Mhe. William Ngeleja akiwashukuru wananchi wa jimbo
lake kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jimboni mwake akiwa njiani kuelekea
jijini Mwanza
Wakazi
wa Sengerema wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli alipozungumza nao akiwa njiani kuelekea jijini
Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wakazi wa Sengerema akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wakazi na wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea
Mwanza mjini.
Kaimu
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akimsaidia
mwanahabari wa ITV kuripoti ziara ya Rais wa Jamhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza na wakazi na
wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza
mjini.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mbunge wa Misungwe Mhe. Charles Kitwanga baada ya kuzungumza na
wakazi na wasafiri eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza
mjini.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na mwalimu Mstaafu Mama Zena Seif (61) ambaye alimfundisha darasa la
tatu wakati akisoma shule ya msingi ya Chato. Hii ni baada ya kuzungumza
na wakazi na wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na
kuelekea Mwanza mjini.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wabunge
na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mwanza akiwa katika pantoni MV Misungwi
wakati akivuka kuelekea Mwanza mjini.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wabunge
na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mwanza akitoka kwenye pantoni MV
Misungwi wakati akivuka kuelekea Mwanza mjini.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi
eneo la Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia
wananchi eneo la Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea
Busisi.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia
mtoto na mama yake baada ya kuongea na wananchi eneo la Kigongo mara
baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi
mbalimbali wa Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.
Rais
wa
Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza
Mbunge wa Misungwe Mhe. Charles Kitwanga akimtajia badhi ya changamoto
jimboni kwake mbele ya wakazi wa Usagara katika jimbo la Misungwi
mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza
Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Biharamulo akiongea na kumkaribisha mbele ya
wakazi wa Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Biharamulo eneo la Usagara katika jimbo
la Misungwi mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wakazi mbalimbali wa Usagara
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
wakazi mbalimbali wa Usagara
Wakazi wa Usagara wakimuaga Rais
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono kuwaaga wakazi mbalimbali wa Usagara
Sehemu nyingi alikuta wananchi wametanda barabarani wakimtaka awasalimu na kuongea nao
Mbunge wa Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula akiongea na wananchi waliokuwa wametanda barabarani kutaka kumsikia Rais
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Buhongwa nje kidogo ya jiji la Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
mamia ya wananchi wa Mwanza waliofurika barabarani kumsubiri
Palikuwa hapatoshi
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Rais
wa
Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anawaambia
wananchi kwamba yeye ni Rais wa kila mtu nchini na atawatumikia wote
bila kuwabagua
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli huku wakimtaka aendelee kuongea nao
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Kila mtu alikuwa na shauku yakumuona na kumsikia Rais
Wengi walitumia simu zao za mkononi kunasa kila alichokisema
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Wananchi wameziba njia ili kumtaka Rais asiwapite bila kuongea nao
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuongea na wananchi wa Mwanza
Rais
wa
Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahakikishia
wananchi wa Mwanza kwamba atawatumikia wote bila kujali dini zao,
makabila yao wala itikadi zao za kisiasa
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Wananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Msafara unapokaribia katikati ya jiji la Mwanza unakutana na umati mkubwa wa wananchi
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anajikuta hana jinsi bali kuzungumza nao
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi katikati ya jiji la
Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuzungumza na wananchi katikati ya jiji la Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katikati ya jiji la Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuzungumza na
wananchi baada ya kuwasili katikati ya jiji la
Mwanza. PICHA ZOTE NA IKULU
No comments:
Post a Comment