Social Icons

Wednesday, 20 May 2015

Stadi za kazi .. Ukiwa kitaa haya mambo yapo sana ...si vijijini tuu.

Katika Life i mean Maisha unapaswa kujifunza mambo Mengi sana ili usije ukaja kukwama Kabisa hata kufanya mambo ambayo unahisi magumu

Juzi kati hapo nilipata somo flan muhimu kutoka kwa mama mmoja hivi alikuwa akifanya kutengeneza kisamvu. Nikaomba pata somo...

So hapa nikawa nafanya kwa vitendo .. Hili lilikuwa bonge la Somo..

Usiogope kujaribu hizi study za kazi... Ni za muhimu.

No comments: