Social Icons

Thursday, 15 October 2015

AMAZING STUFFS: SHUHUDIA HAPA JINSI VIDOLE VYAKO VINAVYOWEZA KUTUMIKA KATIKA UBUNIFU WA KUUNDA VIUMBE MBALIMBALI CHEKI..

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.

Mikono.. wengi wetu tumekuwa tukitumia mikono yetu katika mambo mbalimbali lakini vile vile hatujawahi dhania kuwa mikono hii inaweza ikatumika katika shughuli mbalimbali hasa za sanaa.
Katika pitapita pita zangu mtandanoni katika hii segment yetu mpya ya amaizing stuffs nikaona hii kitu ambapo kwa hakika watu ni wabunifu sana hapa ni jinsi gani Mikono yako inaweza ikaumba maumbo ya viumbe mbalimbali Tazama hapa...
Handimals11
Ukiangalia kwa makini picha hii utasema huyu ni Nyoka tena hatari sana , lakini ukizidi kuangalia kwa ukaribu zaidi utagundua kuwa huyu si nyoka bali ni mikono ya mtu ameweka mithiri ya nyoka.

Handimals

Hapa Pia unaweza ukasema huyu ni mnyama wa Hatari kule pamorini kumbe ni Ubunifu wa hali ya juu 

Kwa hakika sanaa hii ni sanaa ya kipekee kabisa mtazame Tembo huyu

Dolphin  lakini ametengenezwa kwa vidole tuu

Handimals5

Handimals6

Handimals7

Handimals8

Handimals9

Handimals10Handimals12


Hutakiwi kabisa kukosa sehemu hii ya Amaizing Stuffs ambayo itakuwa inakujia hapa nikikuandalia mambo kibao ambayo takuwa nayaona na kukuletea hapa wewe kujionea 

Imeandaliwa na Fredy Njeje Blog

No comments: