Social Icons

Monday, 12 October 2015

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA KONTENA TANO ZA BIDHAA ZILIZOHARIBIKA.

Ikiwa una Tukiko lolote au Habari yoyote usisite kutumia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com
Vijana wakitoa bidhaa zilizoharibika kwenye Kontena tayari kwa kwenda kuangamizwa.
Vijana wakimwaga sukari iliyoharibika katika eneo la mashimo ya kifusi Kibele Wilaya ya Kati Unguja.

Gari la Kijiko likiharibu pipi zilizo haribika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati.
 Mkuu wa usalama wa chakula Bodi ya chakula, dawa na vipodozi Zanzibar Nadir Khatib Hassan akitoa ufafanuzi wa bidhaa hizo kwa wandishi wa habari huko Kibele zilipo angamizwa.
 Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments: