Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.
Mgeni
Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya
Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka
Diamond Platinums akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za shule hiyo
Mgeni Mashuhuri katika
mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach
Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums
akiwasili katika viwanja vya shule hiyo jana asubuhi na kukukaribishwa
na Meneja wa shule hiyo ya Rightway, Moses Kyando. Shule hiyo ilifanya
mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
Mgeni Mashuhuri katika
mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach
Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums
akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za shule hiyo jana asubuhi.
Mgeni Mashuhuri katika
mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach
Makonde ya Jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums
akifuatilia matukio katika shughuli hiyo. Kushoto kwake ni Meneja wa
shule hiyo Moses Kyando na kulia kwake ni Mkurugenzi wa shule hiyo,
Mercy Mchechu. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya
msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
Mkuu wa Kitengo cha
Ukaguzi wa Ndani cha Shirika la Nyumba la Taifa, Fatuma Chillo
akisalimiana na wageni wa meza kuu ambapo pia Mgeni Mashuhuri katika
mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach
Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums
akiwa anashuhudia. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule
ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
Mgeni Mashuhuri katika
mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach
Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond
Platinumsakijadiliana jambo na Mkurugenzi wa shule hiyo, Mercy Mchechu.
Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11
kwa shule ya awali.
Mkuu wa Shule hiyo
akizungumza katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya
Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam. Shule hiyo
ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya
awali.
Wanafunzi wa shule hiyo
wakiimba kwenye mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya
Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam. Shule hiyo
ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya
awali.
Mkuu wa Kitengo cha
Ukaguzi wa Ndani cha Shirika la Nyumba la Taifa, Fatuma Chillo
akisalimiana na wageni wa meza kuu ambapo pia mgeni Mgeni Mashuhuri
katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi
Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond
Platinums akiwa anashuhudia. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane
kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
Mgeni Mashuhuri katika
mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach
Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums
akisalimiana na wanafunzi (hawapo pichani) kwenye mahafali hayo. Shule
hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa
shule ya awali.
Mgeni Mashuhuri katika
mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach
Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums
akimpa mkono kumpongeza mwanafunzi wa shule hiyo aliyekuwa akighani
mashairi yaliyomgusa Diamond.
Wanafunzi wa shule hiyo
wakiimba kwenye mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya
Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam. Shule hiyo
ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya
awali.
No comments:
Post a Comment