Social Icons

Tuesday 6 October 2015

DK MAGUFULI ABOMOA NGOME ZA CHADEMA HANANG, MBULU NA KARATU. AMMWAGIA SIFA LUKUKI DK SLAA‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mikono wananchi alipokuwa akiondoka uwanjani baada ya mkutano wa kampeni kumalizika mjini Karatu, mkoani Arusha.


Akihutubia katika kutano huo, Dk Magufuli aliwaambia wananchi wa Karatu kuwa mmoj wa viongozi wa upinzani anaowapenda kwa dhati ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa kwani ana misimamo thabiti na ana mapenzi makubwa na nchi yetu.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mgombea urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni mjini Karatu, Arusha
 Wananchi wakishangilia kwa kunyoosha mikono ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura za ndiyo mgombea urais wa Tbanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli mjini Karatu..PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mgombea urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni mjini Mbulu, mkoani Manyara
 Moja ya mabango ya kumsifia Dk Magufuli yaliyokuwepo katika mkutano wa kampeni mjini Karatu
 Mgombea urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwaonesha wananchi kwenye mfano wa  karatasi la kupigia kura, picha ya kwake na ya  Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan ambayo ipo nafasi ya tatu, wakati wa mkutano wa kampeni mjini Katesh, wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara 
 Wananchi wa Kateshi wilayani Hanang wakishangilia Dk Magufuli alipowasili kwenye uwanja wa CCM katika mkutano wa kampeni mjini Katesh
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Katesh, wilayani Hanang
 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Hanang, Dk Mary Nagu mjini Katesh, Hanang leo
 Wananchi wakimshangilia Dk Magufuli na kukubali kumpigia kura ili ashinde urais.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
 Baadhi wananchi wakiwa juu ya miti ili wape kumuona Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Katesh
 Moja ya mabango ya kumsifia Dk Magufuli yaliyokuwepo katika mkutao wa kampeni katika Mji wa Hydom, wilayani Mbulu
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, ambaye pia ni Mratibu wa Kampeni za Dk Magufuli, Alhaji Abdallah Bulembo akielezea wasifu wa Dk Magufuli  kuwa anafaa kuwa rais wa Tganzania badala ya Mgombea wa Chadema, Edward Lowassa.
 Wakazi wa Hydom wakiwashangilia hotuba ya Dk Magufuli huku wakiwa juu ya mti
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Mji wa Hydom, wilayani Mbulu, Manyara ambapo aliwataka wananchi kutowachagua wagombea wanaotoa rushwa kwani wakikubali wanaweza wakawauza wao na Tanzania kwa ujumla
 Wananchi wakionesha dole gumba ikiwa ni ishara ya kumkubali Dk Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, wakati wa mkutano wa kiampeni mjini Hydom, Mbulu
 Ni furaha tele kwa wakazi wa Hydom baada ya kumuona Dk Magufuri


 Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini, Fratei Masay mjini Hydom leo
 Dk Magufuli akicheza ngoma ya kabila la Wambulu, wialayni Mbulu
 Dk Magufuli akihutubia na kuwaomba kura wananchi katika Tarafa ya Dongobash, wilayani Mbulu leo
 Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya miti ili wapate kumuona vizuri Dk . Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Tarafa ya Dongobash, wilayani Mbulu.
 Wananchi wakiwa na mfano wa jembe na nyundo alama zinatumiwa na CCM zenye maana ya chama cha wakulima na wafanyakazi. Vifaa hivyo walimuonesha Dk Magufuli katika Kijiji cha Bashel, wilayani Mbulu, huku wakimwimbia wimbo.
 DEk Mary Nagu  akimuombea kura mgombea urais wa Tanzania, Dk Magufuli mjini Mbulu
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Mbulu

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiungana na wasanii Chege na Temba kucheza muziki wakati wa  mkutano wa kampeni  mjini Karatu, mkoani Arusha
 Wananchi wakimpungia mikono Dk Magufuli ikiwa ni ishara ya kumuaga baada ya mkutano wa kampeni kumalizika mjini Karatu.
Dk Magufuli akiwaambia wananchi wa Karatu kuwa mmoja wa viongozi wa upinzani anayempenda kwa dhati ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa kwani ana misimamo thabiti na mapenzi makubwa na nchi yake Tanzania..PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments: