Social Icons

Monday, 26 October 2015

ESTER MATIKO (CHADEMA) ATANGAZWA RASMI KUWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE TARIME MJINI

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.


Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime Mjini, Bw. Mwanjombe amemtajngaza rasmi Ester Matiko (Chadema) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo.
 Matiko amekuwa mbunge wa kwanza kutangazwa rasmi huku akiweka histori kubwa katika wilaya ya Tarime mjini kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mbunge katika wilaya hiyo inayosadikika kuwa na historia ya mfumo dume hususan katika ngazi ya familia.
 Bi. Matiku  amepata kura 20,017 na kumshinda mpinzani wake wa karibu Kembaki Michael Mwita wa CCM aliyepata kura 14,025

No comments: