Social Icons

Friday 9 October 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL, AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA HENGYANG TRANSFORMER LIMITED LEO

Ikiwa una Tukiko lolote au Habari yoyote usisite kutumia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya Hengyang Transformer Limited kutoka TBEA ulioongozwa na Rais wa Kampuni hiyo Bw. Sun Hecheng, wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Octoba 09,2015.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Bw. Sun Hecheng  Rais wa Kampuni ya Hengyang Transformer Limited kutoka TBEA, aliyeongoza ujumbe wa watu watano kutoka kampuni hiyo uliomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Octoba 09,2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Hengyang Transformer Limited kutoka TBEA ulioongozwa na Rais wa Kampuni hiyo Bw. Sun Hecheng, wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Octoba 09,2015.(Picha na OMR)

No comments: