Social Icons

Monday, 26 October 2015

MATOKEO YA AWALI YA URAIS MAGUFULI ANAONGOZA DHIDI YA WAGOMBEA WENZAKE TAZAMA HAPA

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima


 Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
 Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
 Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo ya awali.
 Maofisa wa NEC wakiwa kwenye mkutano huo.
 Wadau wa siasa wakiwa kwenye mkutano huo.Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu 0712-727062)
No comments: