Social Icons

Monday 19 October 2015

MENU TIME: ASANTE MBEZI GARDEN HOTEL KWA KUWAHUDUMIA CHAKULA MAHARUSI SILLAH NA ANCILLA PAMOJA NA WAGENI WOTE

Ninatambua kuwa Menu hii ya nguvu mmeikubali wasomaji wangu wote , na jua mtakuwa na matukio kibao basi  ukitaka maakuli kama haya jibu ni Jepesi tuu Mbezi Garden Hotel chini ya usimamizi wake Mkurugenzi Makini Haika Lawere , watawafanyia mambo yote haya.
Piga simu 0754-692506/ 0787-280602/ 0714-750404
Haika Lawere kutoka Mbezi Garden Hotel ambao ndio waliotuandalia Menu hatali ambayo kila mtu alibakia akisimuli wakicheki mambo sawa na katibu wa kamati ya Harusi ya Sillah Bwana John muda mchache kabla ya kuanza kupata mlo.

 Ni full menu ya nguvu kabisa ambapo kwa hakika kila mmoja ambaye alikuwa katika Sherehe ya Sillah na Ancilla alibaki akisimulia
 Hapa wakicheki kwa Mara ya mwisho kabisa kabla Maharusi na wageni waalikwa kuja kuanza kula
 Misosi ya nguvu hakuna hata haja ya kuelezea sana inajieleza yenyewe ....
 Ama kwa Hakika mimi pamoja na ndugu kibao tulikuwa tunazania kuwa haya ni mapambo kumbe ni bonge la Ubunifu wa kuandaa matunda kwa njia ya kisasa na kitaalam zaidi...  hakika watu walipo jua ni matunda na si urembo walikula mpaka ...
 Bwana Harusi Sillah katika ubora wake akiendelea kuchukua matunda  na Chakula vyote vikiwa vimeandaliwa na Mbezi Garden Hotel
 Bibi Harusi Ancilla nae akiendelea kupata menu yake hapa anachukua matunda
 Sasa kwa Mchongo huu hapa unawezaje kuwakosa na kuwaita Mbezi Garden Hotel ili waje wakufanyie kazi nzuri sana kama walivyo ifanya katika Harusi ya Sillah na Ancilla ?
Ndafu ya nguvu kabisa ilikuwepo
Mpiga picha wa picha hizi na mmiliki wa mtandao huu Fredy Tony akiwa nae anapata Menu ya nguvu kutoka Mbezi Garden Hotel kwa hakika hiki kilikuwa ni Chakula Bab kubwa 

Usisahau katika Tukio hili la Harusi ya Sillas na Ancilla , Mbezi Garden Hotel ililisha watu takribani 500. 

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.

No comments: