Social Icons

Monday, 19 October 2015

PICHA: BWANA NA BIBI SILLAH MBUYA WALIVYOKUWA KATIKA UBORA WAO WAKATI WA HARUSI YAO.

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.

Yes Binafsi nilikiuwa na Furaha sana tangu Ndugu yangu Sillas aliponiambia "Mwanangu Nimeamua kuoa" yes yalikuwa maneno mazuri kwangu kwa kuwa tayari Rafiki yangu alikuwa ameamua kufanya maamuzi ya Busara, na kimsingi ilikua aidha aanze yeye mimi nifuate au nianze mimi yeye afuate ... kwa maana hiyo mimi yangu is Loading now..
Pia pamoja na kwamba nilikuwa kwa kamati lakini pia nilisema kuwa binafsi tapenda nimtendee haki kwa kupiga picha hizi mimi mwenyewe...

Na hapa ni tukio ambalo mimi ninaliona wakiwa katika Ubora wao... wawili hawa 
 Bwana na Bibi Sillas Mbuya wakiwa wanapata ukodaki wa nguvu
 Usishangae hawaangalii mbele kulikuwa na mapoziiiii ...............................
 "Etii bby hii si nzuri eeeeh  "Silllas anamwambia Mkewake Ancilla
 Wametabasamujeee .... Watu weweee....
 Ukimwangalia Bwana Harusi hapa Mtu mzima Mukulu Sillas utaisoma tuu
 Nae Bibi Harusi Ancilla ukimtazama utajua tuu... ni katika ubora uliopitiliza
 "Kula Mkewangu.... Tamu eeeh..."
 Hapa wanatukaribisha katika kupata Maakuli ambayo kwa hakika ni nouma.....
 Etiii afyaaa ndo mtindoo kulishana matundaaa kwa sanaaa....
 Sikubali na wewe kula hili hapa ...... Mke mwema huyu
 Yereeeee.........................
 Tunamalizia kwa amani na upendo... Daah ilikuwa ni soo sana kwa kweliii.... watu walikunywa, kula kufurahi na kila kitu...

Picha zote zimefotolewa  na Fredy Njeje wa Fredy Njeje Blog

No comments: