Social Icons

Tuesday, 20 October 2015

PICHA: HIVI NDIVYO UKUMBI WA KIRAMUU ULIVYONOGA NA WATU WAKE HUKU DRESS CODE IKIWA 'RED AND WHITE' USIKU WA HARUSI YA SILLAH NA ANCILLA.

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.

 Ukiangalia kwa makini jamaa waliandaa vizuri sana Ukumbi na watu wakautendea haki
Kwa hakika kila mtu alifurahi sana, ilikuwa ni Bab kubwa sana Harusi

Huu ni mwendelezo wa matukio mbalimbali ya Harusi hii... usikose..

Picha zote na Fredy Njeje wa Fredy Njeje Blog

No comments: