Social Icons

Tuesday, 20 October 2015

PICHA RASMI: DRESS CODE BLUE AND WHITE: USIKU WA SEND OFF PARTY YA ANCILLA GERVAS MREMA ULIVYOFANA NDANI YA UIKUMBI WA RIVER SIDE

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.
Kulia ni Bibi Harusi Mtarajiwa Ancilla Mbuya, akiwa na Mume wake Mtarajiwa Sillah Mbuya wakati wa siku ya Sendoff 


 
 
 Bibi Harusi Mtarajiwa Ancilla Akiwa katika ubora wake
 Hivi ndivyo Ukumbi ulivyo waka..
Msimamizi wa Ancilla Judith Daniel
Wasimamizi wake nao walikuwa wamewaka sana
Burudani ikiendelea Ukumbini
                                              Huu ndio Mwonekano wa ukumbi wa River side

Maids wakiwa wametangulia kabla ya bibi harusi mtarajiwa hajaingia Ukumbini
                 


Bibi Harusi Mtarajiwa Ancilla akiingia ukumbini
Wakisalimia
Kwa Heshima na Taadhima Ancilla akingojea Maelekezo
Bado wakiwa wanangoja maelekezo
Ukafika wakati wa Kufungua Shampen kila mtu anatazama tukio linaendaje

Wanawasiliana kidogo na msimamizi wake 

                                                         
Wanaendelea kungoja hapa Shampeni ifunguliwe
Kushoto Ancilla Akigonga Cheers na Mpambe wake Judith
Cheers hapa na pale
 
                                                  Muda wa kuikata keki
Sasa anaendelea Kukata Keki pamoja na Mpambe wake

Kushoto ni Baba Mzazi wa Acilla na Mama Mzazi wakiwa katika Sherehe ya Kumuaga mtoto wao.
Wa kwanza kulia ni Mama Mzazi wa Sillah Mbuya na wa Kati kati ni Baba Mzazi wa Sillah Mbuya Mzee Mbuya
Picha kidogo ya Kumbukumbu
                                              Mwenyekiti wa kamati akitoa neno
Keki zikasambazwa ....
                                 Mc Makame akitoa maelekezo kwa Bibi Harusi Mtarajiwa Ancilla
Ancilla akitambulisha upande wa Familia yake
Wazazi wakipunga Mkono
                                  
Utambulisho ukiendelea 
 
 Baba na Mama Sillah Mbuya wakitambulishwa
                                              

 
 Utambulisho kwa upande wa Bwana Harusi ukiendelea
 
Bibi Harusi Mtarajiwa Ancilla akifurahi pamoja na Kamati nzito
Bwana Harusi Mtarajiwa Sillah Mbuya akiwa pamoja na Mpambe wake Sebastian
Haya sasa ndo hivyo Bwana Harusi Mtarajiwa anaonekana kwa watu Rasmi
                                       Hapa utaipenda tuu
Ilikuwa ni full happy
Weweeeeee.............................
Teh Pozi la Bwana harusi Mtarajiwa ni Sheedah
Utambulisho unaendelea
Sebastian na Judith wapambe wa Maharusi watarajiwa katika kiwango chao cha juu
Utawapenda tuu
                                     Ni Marafiki wa Ancilla hawa
                            wafanyakazi wenzake na Ancila katika ubora wao
                              wafanyakazi wenzake na Ancila katika ubora wao
                                        wafanyakazi wenzake na Ancila katika ubora wao

Muda wa zawadi sasa hapa wazaa Chema wa Bi. Harusi mtarajiwa wakiwa wanaenda toa zawadi yao
Baba Mzazi wa Ancilla Mzee Mrema akikabidhi zawadi ... ukiona karatasi hilo wewe unajua kuna nini Benki
Muda wa zawadi bado
Wapambe nao wapo makini
                                    kwakweli wafanyakazi wenzake na Ancila walipendezesha sherehe!
                                                     Akina kaka na Madogo nao sasa wanatoa zawadii
Wanapata ukodaki
                                            Mashangazi katika ubora wao
Nao wakapata ukodaki
Zawadi kwa wazazi wa Ancilla
   Wazazi wa Ancilla wakishukuru familia ya Baba Mdogo wake Ancilla kwa Marezi Bora kwa Binti yao
Zawadi ikatolewa
Baba Mdogo wa Ancilla Anthelim Mrema  pamoja na Mke wake wakipata ukodaki na Binti yao Bibi Harusi Mtarajiwa
                                                         Kapu la mama
Asanteni kwa kuja sasa tunaondoka

 Sasa wanaondoka kwa hakika tukio lilikuwa la Kihistoria

No comments: