Social Icons

Monday, 12 October 2015

Tukio katika picha: Diamond Platnumz Mkalee.. anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!

Ikiwa una Tukiko lolote au Habari yoyote usisite kutumia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com
12096534_1001918109830003_2835486665383612207_n
Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnumz ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.
(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say  …dha! hata sijui nizungumze nini… 

(Eeh Mungu baba tunakushukuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki…tafadhali endelea kutushika mkono, usituache)
#BestDanceVideo #EastAfricanArtistOfTheYear #AfricanArtistOfYear #afrimma2015″ Hivyo ndivyo alivyofunguka Diamond katika kurasa zake za mitandao ya kijamii huku akipata hongera nyingi kutoka kwa mashabiki wake mbalimbali.
Diamond-Basketmout
Diamond akiwa na Basketmouth wakati wa tuzo hizo jana usiku
Modewjiblog inakuletea zaidi habari za tuzo hizo hapa chini:

AFRIMMA 2015: First Photos Of Diamond, Yemi Alade, Kcee, Basketmouth, & More | (+ FULL LIST OF WINNERS)


The 2015 African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) held last night in Dallas, Texas.
For the event, red carpet was hosted by Emma Nyra and the show was hosted byBasketmouth and Kansiime.
See the list of winners below.
Best Male (South Africa) – AKA Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha Best Male (West Africa) – Davido Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee Best Female (West Africa) – Yemi Alade AFRIMMA Inspirational Song – Bracket feat. Tiwa Savage and Diamond Platnumz for ‘Alive’ Best DJ (US) – DJ Simplesimon Best Newcomer – Ommy Dimpoz Best Collaboration – AKA feat. Da Les and Burna Boy for ‘All Eyes on Me’ Best Dance Video – Diamond Platnumz for ‘Nana’ Best Video – Wizkid for ‘Ojuelegba’ Artist of the Year – Diamond Platnumz Legendary Award – Yossou N’Dou
See the first photos.
AKA
AKA-1-600x600
Basketmouth-AKA-600x599
Basketmouth-Kansiime-479x600
Diamond-Basketmout
Diamond-Platnumz
IMG_4952-338x600
Kansiime-476x600
Kcee-599x600
Miss-Africa-USA-and-Basketmouth
VJ-Adams-599x600
Yaw
Yemi-Alade
Yemi-Alade1

No comments: