Social Icons

Thursday, 22 October 2015

UBUNGO PAMOJA NA MAKAMANDA KAJUNA,BUKUKU NA AHMAD WANA WA TBN

Ilikuwa Bonge la Moja la Korabo hapa kulia unamuona Ahmad Michuzi wa Jiachie Blog, Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog, John Bukuku wa Full Shangwe Blog pamoja na Mpiga picha wa picha hii na mmiliki wa Blog hii Fredy Tony 

Unajua nini hapa tulikuwa kipande cha Ubungo muda mchache tuu Baada ya Magufuli kuwasili na kuongea na wakazi wa eneo la Ubungo nje ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani, ilikuwa Bab kubwa

Sisi hapa ni kaziiiii

Bado siku tatu , tunza kadi yako..

No comments: