Social Icons

Thursday 5 June 2014

HAPPY BIRTHDAY JEMBE WANGU SILLAS MBUYA , LEO KU PARTY TUU NO GENGEE!

Yes mimi siwezi sema sana lakini ninajua tulipotoka na huyu jamaa yangu ambapo tumepitia mambo mengi sana na mpaka sasa tunaendelea kuwepo na tutazidi kuwepo hakuna cha kututenganisha, ni Rafiki wa kweli ambaye tunashirikiana mambo yote hapa chini ya Jua ... Leo hii jamaa yangu anatimiza Miaka Kadhaa mimi ni Boss wangu kazini lakini kama kawa inapo hitajika pongezi kwa kijana mdogo kama huyu Shupavu na mchapa kazi na uvumilivu wa hali ya Juu tunafanya hivyo. 

 Jembe langu akiwa na Furaha sana .....
 Jamaa anakipaji aiseee
 Katika Harakati zetu za utaftaji
 Yes Baada ya mambo Kibao tukawa tunajipumzisha
 Yes... kama kawa Miadi ya Kikazi Muhimu
 Tukiwa tunapata Kahawa mahala
 Ebwana hapa mshikaji alikuwa pale Mbalamwezi
 Mangi anakwambia maisha Haya usingoje uambiwe kula Raha ... Wewe Jipe mwenyewe
 Jamaa anapenda Sms sana ...
 Eti anasema...."Nawashukuru sana jamaa zangu kwa salam zenu za Birthday"

Namalizia kwa Kuungana na wasomaji wangu wote pamoja na wewe mgeni unaesoma sasa Msg hii kumtakia Bday Njema  Mtu wangu wa Nguvu sana Sillas aka Mangi wa Gengeni

1 comment:

Anonymous said...

Inapendeza, endeleeni kua pamoja