
Hapa Miss Vodacom Tanzania 2011 akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo

Hapa Miss Vodacom Tanzania 2011 akiwa katika pozi na Vazi lake la Ufukweni

Miss Vodacom Tanzania 2011 wa Kumi kutoka kulia akiwa na wenzake katika Dina la nguvu Huko Scottish maeneo ya Scottish Hydro

Miss Vodacom Tanzania wa Sita kutoka kulia akiwa bize anachukua Video wakati wakipata burudani ya nguvu huko Scottish maeneo ya Crieff Hydro

Miss Vodacom Tanzania 2011 akiwa na wenzake huko Scottish maeneo ya Crieff Hydro

Miss Vodacom Tanzia aliye vaa Nguo za Njano katika maandalizi ya nguvu kabisa wakati wa maandalizi ya shindano la Miss World Tanzania


Picha hii na Ya juu take Miss Vodacom Tanzania 2011 wa pili kutoka kulia akiwa Edinburgh Castle hivi karibuni katika safari ya kuelekea katika mashindano ya kumsaka Mrembo wa Dunia

Miss Vodacom Tanzania wa Tatu kutoka kulia akifurahia kwa Shangwe wakati wa Highland Games kuelekea kinyang'anyiro cha Mrembo wa dunia

Miss Vodacom Tanzania 2011 wa kwanza kushoto aliye simama akiwa katika picha ya pamoja na wenzake

Miss Vodacom Tanzania 2011 wa Pili kutoka kulia akiwa anapiga Chiazi na wenzake .. katika safari ya kuelekea kumtafuta Mrembo wa Dunia.
Picha zote hizi zimetoka katika page maalum ya Miss World lakini nimejitahidi kusaka picha zote ambazo Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel .. Endelea kufuatilia tukio hili nitawaletea kadili navyo pata tukio zima.
©Fredy Njeje
No comments:
Post a Comment