Social Icons

Thursday 17 November 2011

Hot Nuuuz: NDOA YA MSANII WA BONGO MOVIE UWOYA YAVUNJIKA!!!





Na Imelda Mtema
NDOA ya kifahari iliyofungwa kwa mbwembwe nyingi na kuweka rekodi ya aina yake kwa mastaa wa sinema za Kibongo kati ya Irene Pancras Uwoya (pichani) na msukuma kabumbu wa Kimataifa wa Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ imevunjika, Risasi Mchanganyiko lina ushahidi mkononi.

Kwa mujibu wa chanzo chetu halali, ndoa hiyo imepinduka usiku wa Jumapili kufuatia kushindwa kuvumiliana kama walivyoahidiana siku ya kufungwa kwa ndoa hiyo

No comments: