Social Icons

Wednesday, 30 November 2011

KILI STARS YAICHAPA DJIBOUT MAGOLI 3 - 0



Mussa Hassan Mgosi Akimtoka Mchezaji wa Djibout






TIMU
ya Taifa ya Bara 'Kili Stars' leo imeshinda mechi yake ya kwanza kwenye
michuano ya Chalenji baada ya kuigagadua Djibout kwa mabao 3-0, mechi
iliyopigwa kwenye dimba la Taifa,jijini Dar es Salaam.

No comments: