Baada ya kutangazwa kuwa mshindi
Akiwa Mwenye Furaha Miss World 2011 kutoka Venezuela kutoka kulia walio simama wa pili ni Miss Tanzania
Miss world akiwa Mwenye Furaha ya ajabu huku walio simama wa nne kulia ni Miss Tanzania nae akiwa Mwenye Furaha zaidi
Miss World 2011 akiwa anapunga mkono baada ya kutangazwa kuwa ni mshindi
Washindi wengine pamoja na Miss world wakiwa katika Picha ya Mnato
Miss Tanzania wa Pili kutoka kulia akiwa mstari wa mbele na mwenye Furaha wakati wa mashindano hayo
Miss Tanzania 2011 wa pili mbele kutoka kulia wakiwa katika Dance la nguvu jana wakati wa mashindano hayo ya kumsaka mrembo wa Dunia
Shamla shamla zilifika wakati wake ambapo warembo kibao walionesha makali yao pia
Umati wa watu ambao walifika katika mashindano hayo ya kumsaka Mrembo wa Dunia
Hivi ndivyo tukio zima la Kumsaka mrembo wa Dunia lilivyo kuwa.. Lakini zaidi nimejitahidi kuangalia na kuzingatia pale ambapo Mrembo wetu Toka Tanzania ameonekana zaidi.. Mashindano yameisha. Tunamtakia Miss Tanzania 2011 safari njema ya kurudi Nyumbani Tanzania
Picha zote kwa Hisani ya Page maalum ya Miss World
No comments:
Post a Comment