Jojoo akicharaga gitaa
Chalz akifanya makamuzi
mpiga drum wa Twanga akiwa mzigoni
Wana Twanga wakitoa Burundani ya Nguvu
Luiza akila pozi na washabiki wa Twanga
Full kula Bata.
Birmingham palikua hapatoshi
---
Bendi ya Twanga pepeta ilifanya makamuzi ya nguvu katika mji wa
Birmingham siku ya Jumamosi tarehe 3 Desemba 2011 ndani ya ukumbi wa La
Reference iliyohudhuriwa na mamia ya wadau mbalimbali wa muziki kutoka
pande zote karibu na mji wa Birmingham na vitongoji vyake pamoja na
london.
Tunapenda kutoa shukrani kwa wale wote walioweza kufika katika show hii.
Asanteni
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Miss Jestina Blog

No comments:
Post a Comment