Katikati
ni Mkurugenzi wa Mawasiliano kampuni ya SBL.Teddy Mapunda akikabidhi
kombe kwa viongozi wa timu ya Bunge na Timu ya Baraza la
Wawakilishi.Pichani kulia ni Kapteni wa timu ya Bunge,Mh Amos Makala
na kushoto ni Mwenyeki wa timu ya Baraza la Wawakilishi,Mh Hamza
Hassani Juma.

Mkurugenzi
wa Mawasiliano kampuni ya SBL.Teddy,Mapunda (katikati), akizungumzia
namna udhamini wao utakavyokuwa kwa timu hizo, wengine kulia na
kushoto ni Nahodha wa timu ya Bunge, Mh Amos Makalla na Mwenyekiti wa
timu ya Baraza la Wawakilishi, Mh Hamza Hassani Juma.

Viongozi
wa Timu ya Wawakilishi nae akifafanua zaidi namna watakavyowakabili
wapinzani wao Desemba 9 mwaka huu ndani ya Uwanja wa Uhuru jijini Dar
es Salaam.

Kapteni
wa Timu ya Wabunge,Mh Amos Makala akizungumza ni namna gani
wamejipanga kuhusiana na mechi hiyo itakayokuwa ya kusisimua dhidi ya
mahasimu wao Timu ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar.

wa Mawasiliano kampuni ya SBL.Teddy,Mapunda akizungumza mbele ya
wanahabari mapema leo Makao Makuu ya ofisi hizo zilizopo
Oysterbay,jijini Dar,kuhusiana na udhamini wa mechi kati ya Timu ya
Wabunge na Timu ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar,itakayofanyika
9 Desemba kwenye Uwanja wa Uhuru,ikiwa ni sehemu mojawapo ya
kusherehekea miaka 50 ya Uhuru,aidha Teddy amesema kuwa udhamini wa
timu hizo umegharimu kiasi cha zaidi ya milioni 65.

Mkurugenzi wa Mawasiliano kampuni ya SBL.Teddy Mapunda akikabidhi
jezi kwa viongozi wa timu ya Baraza la Wawakilishi na kupokelewa na
Mwenyeki wa timu ya Baraza la Wawakilishi,Mh Hamza Hassani Juma.

wa Mawasiliano kampuni ya SBL.Teddy Mapunda akikabidhi jezi kwa
viongozi wa timu ya Bunge. Anaepokea Jezi hizo ni Kapteni wa timu ya
Bunge,Mh Amos Makala na Kulia ni Mratibu wa Timu ya Bunge, Juma Nkamia.

No comments:
Post a Comment