Social Icons

Monday 12 December 2011

Tamasha la miaka 50 ya Uhuru lililo andaliwa na TIGO, lililofanyika juzi katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam Lafunika bovu

 Wanamuziki wa kundi la Tip Top Connection la jijini Dar es Salaam wakitoa burudani katika tamasha maalum la kusherehekea miaka 50 ya Uhuru liloandaliwa na kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo katika Ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam juzi.
 Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Godzila akitoa burudani katika tamasha maalum la kusherehekea miaka 50 ya Uhuru liloandaliwa na kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo katika Ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam juzi.

Mwanamuziki Twenty Percent akitoa burudani katika tamasha maalum la kusherehekea miaka 50 ya Uhuru liloandaliwa na kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo katika Ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam juzi.

No comments: