Hili Ni Eneo Maalum kabisa Limetengenezwa Kwa Ajili ya mambo ya Christmas
Baadhi ya watu wakifanya Shoping ya Nguvu kabisa, kununua mapambo mbali mbali kwa ajili ya Christmas
Sio Nje tuu pia katika Maduka mengi sasa ni Muda wa punguzo wa Bei Chee kabisa,Lakini hata Hivyo wameweka mapambo ya kuvutia ya Christmas
Baadhi ya watalii wakipata picha za Nguvu kabisa katika mti mkubwa wa Christmas
Mkuu wa wa Libeneke hili nae alipata nafasi ya Kupata Picha moja katika Maeneo Hayo ambapo kulikuwa na mapambo ya Christma, Akiwa katika Vakesheni yake
Baadhi ya Mitaa ikiwa imependeza kabisa ikiwa ni maandalizi ya Sikukuu za Christmas
No comments:
Post a Comment