Social Icons

Monday 16 January 2012

KOZI YA UKOCHA WA MASUMBWI YA KIMATAIFA YAANZA LEO KIBAHA MKOA WA PWANI

Kocha wa Mchezo wa Ngumi Rajabu (Super D) kulia akibadilishana mawazo na mkufunzi wa makocha wa Masumbwi wa kimataifa Josef Diouf kutoka Shirikisho la Dunia la mchezo wa ngumi (AIBA) katikati ni Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga.
Baadhi ya makocha mbalimbali kutoka mikoa ya Tanzania Bara wakiwa katika kozi hiyo iliyoanza kibaha leo ikitolewa na mkufunzi wa makocha wa Masumbwi wa kimataifa Josef Diouf kutoka Shirikisho la Dunia la mchezo wa ngumi (AIBA) 
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: