Social Icons

Friday 13 January 2012

Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Mwana Libeneke Mwenzetu Ahmad Issa Michuzi

Mpiganaji Blogger Ahmad Issa Michuzi
********
Binafsi Napenda sana kuchukua nafasi hii ya pekee kabisa Kumpongeza mpiganaji mwenzangu ambaye pia ni  mmoja wa washuri wangu wakubwa katika kazi zangu za kublogisha, Mungu akubariki sana na akupe maisha Marefu ya amani na uoendo pia ushirikiano wako katika kazi ambao ni wa kipekee kabisa.
Pamoja tutafika. 
Maisha Mema Kaka Ahmad Issa Michuzi Mpiganaji wa Ukweli

No comments: