Social Icons

Wednesday 11 January 2012

LEO NI SIKU YA KUZALIWA MDAU ANTHONY ERNEST LUSESHELO NJEJE

Mtoto Anthony akiwa katika pozi la Furaha
Anthony akiwa katika Ofisi huku akijaribu kufanya mambo mawili matatu
**************
Familia ya Ndugu Ernest Luseshelo Njeje ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tone Multimedia Company Limited ambao pia ni wamiriki wa Mbeya yetu Blog, Latest News Blog (www.latestnewstz.blogspot.com) Tone Radio Tz ( www.toneradiotz.com) akishirikiana na Mke wake Sarah Njeje na watoto wao Amerisa na Shikunzi Alvin Njeje Ndugu jamaa na Marafiki wanayo furaha kubwa leo Kumpongeza kijana wao Anthony kwa kutimiza miaka kadhaa siku ya leo. Wanamtakia maisha mema.
Pia Timu nzima ya Fredy Njeje Blog pamoja na wadau wote wa Libeneke hili Tunamtakia Maisha mema yenye amani na Upendo Mtoto Anthony.


No comments: