Social Icons

Friday, 27 January 2012

Wakati wewe unafikiria kuwa na maisha mazuri kabisa kumbuka wengine hawajui watakula nini muda huo na kupoteza matumaini ya maisha Tafakari


Nimekaa nikiwaza sana mpaka naituma picha hii, mtoto huyu amekaa hapa anawaza hajui hatima yake ya mawazo itaishia wapi wakati wengine wanaishi vema kabisa bila tatizo.. ni vema kufikiria jinsi ya kuwasaidia watoto kama hawa kulipo kuendelea kula maisha tuu. Tafakari kisha chukua hatua

No comments: