Louisa Frisch (Bright Future TZ), Jestina George, Haruna Mbeyu (TA London) & Chris Lukosi 'Mzee wa Kazi (Serengeti Freight)
Umi Macho, Jestina George & Louisa
Jestina George akimpa mkono wa shukurani ndugu Abdul Kachila baada ya kutoa mchango wake
Jestina akimshukuru Pr. Mattheww kwa mchango wake
Mzee wa Kazi Chris Lukosi, Louisa (Bright Future TZ), Jestina George & Pastor Matthew
Jestina George akiwa na mgeni rasmi Mh. Naibu Balozi Chabaka Kilumanga
Jestina George & Louisa tukimshukuru Mh. Naibu Balozi Chabaka Kilumanga kwa support yake
Haruna Mbeyu, Mzee wa Kazi (Serengeti Freight) Mohsin akimpa mkono wa shukran Naibu Balozi
Mzee wa kazi (serengeti Freight) Chris Lukosi na Naibu Balozi
Katibu wa CCM East London & Katibu wa TAWA UK Mariam Mungula akiwa na
Mdau Iscandar kiwa katika pose na Naibu Balozi
Baadhi ya viongozi wa TA London Haruna Mbeyu, Said Surur wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Balozi na dada Louisa wa Bright Future TZ
Wazee wa kazi 'Kikazi Zaidi'
Wadau
Chris akimshukuru Iscandar kwa support yake
Viongozi wa TA London wakiwa katika picha ya pamoja na waandaji wa hrambee
Mzee wa Kazi Chris Lukosi akiwajibika
Hivi ni baadhi ya vitu vilivyo patikana katika Harambee
Said Suru, Dullah Meru, Iscandar, Chris Lukosi & Jestina katika picha ya pamoja
Picha ya pamoja baada ya shughuli kuisha na baadhai ya wadau waliojitokeza kuchangia
---
Siku ya Jumamosi tarehe 7 January 2011 Serengeti freight wakishirikiana na Miss Jestina Blog, Bright Future TZ pamoja na Urban Pulse walifanya harambee maalum ya kuchangia watanzania walioathirika na mafuriko yaliotokea hivi karibuni mwishoni mwa mwaka jana nyumbani Tanzania.
Mgeni rasmi alikuwa Naibu balozi Mh Chabaka Kilumanga. Aidha Mh Balozi aliongea na kushukuru watanzania wote walioguswa na kujitolea kwa hali na mali ili kuweza kusaidia watanzania wenzao waliokumbwa na janga hili. Misaada bado inaendelea kupokelewa na kukusanywa mpaka mwisho wa mwezi huu wa january. Hivyo basi kwa wale wote walioshindwa kuweza kufika siku ya jumamosi kutoa michango bado nafasi ipo. Kumbuka hili ni janga letu wote tafadhali fanya sehemu yako kwa jinsi Mungu anavyokubariki.
No comments:
Post a Comment