Social Icons

Saturday, 28 January 2012

Yadunia ni mengi hata hili pia niladuniani... Tafakari chukua hatua

 Gari hili likionekana limebeba Jeneza Huku Maiti zengine zikiwa nje ya Jeneza, Kwa mbali ilikuwa kama picha ya kushangaza kiasi 

Baada ya kuchukuliwa Picha ya jirani kabisa ikaonekna kwamba kulikuwa kuna maiti moja ikiwa kwa Jeneza na Mbili zikiwa nje na kukaa kwa hatari ambapo zingeweza kudondoka wakati wowote.
Tukio Hili limetokea Njia ya kuelekea Tunduma hivi karibuni
Picha na mdau Stanslaus Lambat Mbeya

1 comment:

Anonymous said...

kwa mtazamo wangu hizo si maiti isipokuwa nikama hao jamaa walitoka kuchukua au walikuwa wanapeleka huo mwili mahali fulani na hao wawili ni wasindikizaji