Social Icons

Monday, 20 February 2012

AROBAINI YA MZEE KIPARA YAFANYIKA KIGOGO



Imamu Wallid akiongoza sala.









Mzee Mashaka (kulia) na Mhogo Mchungu walikuwepo.









Wanawake waliohudhuria.









Chekibudi (kushoto) pia alikuwepo.









Wanaume waliohudhuria hitma hiyo.

ZIKIWA zimepita siku 40 tangu mwasisi wa kundi la Kaole, Fundi Said
‘Mzee Kipara’ kufariki, jana wasanii na watu mbalimbali walikusanyika
na kumfanyia hitma. Sala hiyo ilifanyika katika nyumba aliyokuwa
anaishi huko Kigogo jijini Dar ambapo hitma iliongozwa na Imamu wa
Msikiti wa Magomeni Kichangani, Wallid Alhad.
HABAR/PICHA NA GLADNESS MALLYA

No comments: