Social Icons

Friday, 24 February 2012

HII NDIO AFRICA TAZAMA HII VIDEO: AFRICAN LIFE STYLE AZMA & KITA FEAT RAMOE MTATA




Ok hii Video ilikuwa ni kazi yangu ya Pili Kudesign kutengeneza Slide kulingana na kinacho zungumziwa katika wimbo huu, ambao ulikuwa ukiwazungumzia viongozi wa Africa jinsi wanavyo Ongoza Nchi Kama wanavyo taka, amani hakuna. Idea ya kutengeneza Slide hii ilikuja kulingana na Hali halisi Iliyopo.

Video Designed and Edited by Fredy Tony Njeje 

No comments: