Dakika ya kumi na saba kuelekea kumi na nane na mchezo ni wa kasi na wenye kuvutia uwanjani hapo. Pichani ni moja ya hatari langoni mwa timu ya Yanga ila mpaka sasa hakuna timu iliyoweza kuona lango la mwenzake.
Washabiki wa Yanga wamefurika uwanjani hapo
Washabiki wa timu ya Simba na watani wetu wajadi Simba nao wamo ila leo sijui wanamshabikia nani??
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment