Social Icons

Thursday, 16 February 2012

MABONDIA WA KUWAKILISHA TANZANIA WATAFUTWA

Bondia Fabiani Gaudence (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na iddi Pialali wakati wa mashindano ya kuchagua mabondia watakaowakirisha taifa katika mashindano ya Kimataifa yanayotaraji kufanyika hivi karibuni Gaudence alishinda kwa point
Bondia Peter Stanley (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Doto Shoka wakati wa mashindano ya kuchagua mabondia watakaowakirisha taifa katika mashindano ya Kimataifa yanayotaraji kufanyika hivi karibuni Stanley alishinda kwa K.O ya raundi ya pili.


No comments: