Social Icons

Friday 27 April 2012

Diamond afanya ukaguzi wa mwisho kwa Helikopta atayotumia siku ya Jumapili pale DAR LIVE!

Hapa akisalimiana na  Kapten wa Ndege hiyo Mr. Nasser
Hapa akiwa na wasanii wa kundi la Pah One wakielekea kunako chombo
Hapa wakitest mambo fulani

Picha na Global Publishers 

No comments: