Social Icons

Tuesday 24 April 2012

Diamond amuweka wazi Rasmi Mpenzi wake Mpya !!



Baada ya kuumiza watu vichwa kwa muda mrefu hatimaye hiki ndicho alichokiandika DIAMOND kwenye BlackBerry Messenger ambapo kwa idhini yake mwenyewe millardayo.com ilimwambia itaitumia.... 

Kulikua na stori kibao mtaani kwamba DIAMOND PLATNUMS yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo JOKATE lakini bado ilikua haijathibitika, sasa hivi ndio kaamua kuweka wazi na habari ndo hiyooooooo. Tunawataki akila la heri wapendanao hawa.

Habari hii ni kwa hisani ya millardayo.com

2 comments:

Anonymous said...

Shame! wanawake we are so cheap, na yy atafanyiwa kama alivyofanyia mwenzake, shame on you Diamond and Jokate! shame

Anonymous said...

Shame on you diamond unachezea wanawake nawe utazaa uone