Social Icons

Monday 30 April 2012

Maandalizi ya Redd's Miss Ustawi wa Jamii yapamba moto



 Washiriki wa kinyang'anyiro cha Redd's Miss Ustawi wa Jamii 2012 wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mwalimu wao,Mary Boniface (katikati) wakati wa mazoezi ya kujiandaa na shindano lao linalotaraji kufanyika siku ya ijumaa (Mei,4 2012),ukumbi wa Maisha Klab jijini Dar es salaam.
 Warembo wa Redd's Miss Ustawi wa Jamii 2012 wakiwa kwenye pozi.
 Mwalimu wa Dansi kwa Warembo wa Redd's Miss Ustawi wa Jamii 2012 akitoa somo kwa warembo hao.
Picha kwa hisani ya Mtaa kwa mtaa Blog

No comments: