Social Icons

Saturday 28 April 2012

NEEMA IMEMTEMBELEA MCHEKESHAJI HUYU : 'KING MAJUTO' AULA BAKHRESA..



Habari exclusive na zakuaminika zilizo fikia mtandao huu kutoka kwa Hamza King Majuto ambaye ndiye msemaji mkuu wa familia, zimeeleza kwamba mchekeshaji na muigizaji gwiji nchini Tanzania Amri Athumani 'King Majuto' (pichani), ameingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya 'Bakhresa Group' Mkataba huo umemuwezesha King Majuto  kuwa Balozi wa bidahaa zote za 'AZAM'.   

Pamoja na kuwa balozi wa kampuni hiyo Hamza aliendelea kueleza kwamba shavu jingine aliliopewa 'King Majuto' na kampuni ya 'Bakhresa Group' ni pamoja na udhamini wa vipindi vyake vyote vitakvyo kuwa vinarushwa kwa njia ya TV. 

Mkataba huo utanza rasmi mwezi Mei 2012.



No comments: