Social Icons

Friday 20 April 2012

PICHA YETU KUU YA LEO: HIKI NI KITENDAWILI MZAZI AMTUNDIKA MTOTO KATIKA MNAZI NA YEYE KUENDELEA NA KAZI ZAKE. JE HII NI SAWA?




Mtoto akiwa amewekwa kama amebebwa katika mnazi

*******
Ukiitazama picha yoyote lazima utapata majibu Milioni moja kidogo. Hata nilipo itazama picha hii na mimi nilipata maswali mengi bila majibu yake, Lakini kwa upande wangu nikapata majibu na kusema labda mtoto anapenda sana kubebwa ndio maana ametundikwa hapa kwa kudanganishia tuu maana ukimuangalia hana wasi wasi hapo alipo. Lakini kwa upande wa pili nimefikiria hatari kubwa kwa mtoto huyu je kama kuna wadudu wa hatari kama Nyoka, Nnge, Mijusi na wengine wakija mdhuru hapa itakuwaje? au lah kama mtoto huyu akianguka hapa je atapona?

Swali kwa wenye watoto
Je hii ni sawa?

No comments: