Mshatkiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu' akielekea kupanda ngazi na kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa Upelelezi haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Rita Tarimo hivyo kesi hiyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande.
Akizindikizwa ndani ya chumba cha Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo
Mshtakiwa akipanda ngazi kuelekea Kizimbani ambalo kesi yake ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku akiwa katika ulinzi mkali kutoka kwa askari Magereza.Picha na Mdau Khadija Kalili
(Picha kwa hisani ya Haki Ngowi)
(Picha kwa hisani ya Haki Ngowi)
No comments:
Post a Comment