Blogger Faith
****
Bofya hapa chini kutembelea Blog yake
Bofya hapa Chini ku like page yake
Siku zote safari huwa haianzii Mwishoni,Lakini ni hatua kama kujenga nyumba ambavyo huwezi kuanzia kuweka mabati. Ndivyo alivyo anza Mdau hapo juu na Blog yake ya Candy's 1 Little World mpaka sasa kutimiza miaka mi tatu leo tarehe 12.05.2012.
Binafsi napenda sana kukupa Hongera kwa Blog yako kutimiza miaka hii mitatu na pia, nikupongeze sana kwa kutenga muda wako hata kublogisha maana Blog nyingi zimeanza na kuishia hewani bila kufikia pale walipo hitaji kufika.
Mwisho Tumefurahi kuona Sura mpya na mambo mapya mengi katika Blog yako hii inaonesha kwamba wadau tutegemee mambo mengi zaidi na zaidi.
Nikutakie Sherehe njema katika kutimiza miaka hii ya Blog. Naungana na wadau na wana blog wote Tanzania na Popote Duniani kupupa Hongera sana..!
Salam kutoka kwa
Fredy Tony Njeje

1 comment:
Asante sana Fredy na nathamini mchango wako mkubwa ulioutoa kwenye "kijiji" change. Thank you so much :-)
Post a Comment