Social Icons

Monday, 21 May 2012

KUTOKA JANGWANI:Picha Za Mkutano wa Yanga SC Uliomtimua Mwenyekiti Wa Timu Hiyo Lyod Nchunga

  Mwenyekiti wa Kamati ya Wazee wa Klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali akitangaza kumfuta Uenyekiti wa timu hiyo, Lyod Nchunga, wakati wa mkutano wa wanachama uliofanyika jana kwenye klabu hiyo, Mtaa wa Jangwani/Twiga jijini Dar es Salaam.
 Mmoja wa wanachama wa Yanga, anayeitwa Nyachia akionyesha kadi yake wakati wa kujisajili kuingia kwenye mkutano huo
 Wanachama wa Yanga wakishangilia tamko la kumg'oa Mwenyekiti wa Klabu hiyo Lyod Nchunga
 Tofauti na vikao vingine vya Yanga ambavyo hufanyika katika ukumbi wa  jengo la Klabu hiyo, mkutano jana unafanyika kwenye Uwanja nje ya jengo.

No comments: