Social Icons

Monday, 28 May 2012

LEO NI SIKU KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWA MDAU JANE MWANGOMALE

Siku zote siku hukuna mtu aliyewahi kuzaliwa akiwa mtu mzima kila mtu alianza akiwa kichanga akakuwa mpaka kufikia hapo alipo... Leo ni siku pekee kabisa ya Mdau na rafiki yangu Mkubwa Jane ambaye anakumbuka siku yake ya kuzaliwa.
Binafsi naungana na wadau wote popote Duniani kumpongeza kwa siku yake maalim kabisa ambayo hawezi kuisahau.
Nakutakia maisha mema yenye Furaha na mafanikio zaidi
Kwa niaba ya Wasomaji wa mtandao huu
Fredy Tony Njeje
Young Blogger

No comments: