
Mke  wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,  akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa wanachama wa Taasisi ya Tushikamane  Pamoja Foundation’,  Joha Simba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya  kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi hiyo, iliyofanyika kwenye  Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Me i 20, 2012.

 Mke  wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,  akimkabidhi zawadi ya ua mwananmitindo maarufu, Mustafa Hassanali,  wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya  Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa  Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.

Mke  wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,  akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea  kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation,  iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.

Mke  wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mama Margareth Samue  Sitta, akipita jukwaani na vazi la asili kwa mikogo, wakati wa hafla ya  maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya  Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond  Jubilee, jana Mei 20, 2012.

Mchezaji  wa mpira wa Kikapu, Hasheem Thabeet, akipita jukwaani na vazi la asili  kwa mikogo,  wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza  miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika  kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.

MBunge  wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji, akipita jukwaani na vazi  la Harusi kwa mikogo,  wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea  kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation,  iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.

Mke  wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wsanachama wa Taasisi ya  Tushikamane Pamoja Foundation, wakati wa hafla ya maadhimisho ya  kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi hiyo, iliyofanyika kwenye  Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012. 
Picha na Amor Nassor 
No comments:
Post a Comment