Gari aina ya Toyota Cresta lenye namba za usajili T 387 BMZ alilokuwa akiendesha Mafisango.
Emmanuel Okwi (kulia) nae alifika Muhimbili baada ya tukio hilo.
Uhuru Seleman wa Simba akilia kwa huzuni baada ya kufika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kiungo wa Yanga na mchezaji wa timu ya taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima akiwa na majonzi kwa kifo cha mwenzake anayetokea Rwanda pia.
Kwa hisani ya Global Publishers
No comments:
Post a Comment