Social Icons

Friday 18 May 2012

MAMIA WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MCHEZAJI WA SIMBA, MAREHEMU PATRICK MAFISANGO


 Mchungaji akiendesha ibada maalumu ya kuuaga mwili wa marehemu Mafisango
Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars), wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa mchezaji wa timu ya Simba, marehemu Patrick Mafisango, tayari kutolewa heshima za mwisho leo kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam.
 Msafara wa mwili wa Mafisango ukiongozwa na Trafiki, kuingia viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam leo
Sehemu ya umati wa waombolezaji waliofika kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa  marehemu Mafisano. 
Picha na Dotto Mwaibale.

No comments: