Social Icons

Friday, 11 May 2012

MPIGANAJI RACHEL MWILIGWA ATANGULIA MBELE YA HAKI


Marehemu Rachel pichani katika moja ya sherehe za maadhimisho ya kuzaliwa kwake.

 TASNIA ya habari nchini na hasa michezo na burudani imepata pigo baada
ya mpiganaji wake, Rachel Mwiligwa ambaye alikuwa mhariri wa michezo wa
gazeti la Mtanzania kufariki usiku wa kuamkia leo.
Rachel alikuwa amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es
Salaam tangu mapema wiki hii.
Taarifa zaidi tutawaletea baadaye, ila hatuna budi kusema kazi yake mola
haina makosa.

No comments: